Ijumaa, 29 Januari 2016

HATA WEWE UNAWEZA KUWA HANDSOME BOY KWA KUFUATA HAYA

Tags

Wengi wanatamani kuwa na muonekano mzuri ili wawwvutie watu wanaowazunguka katika maisha,inawezakana kuwa hivvo.Fuata yafuatayo

1.Nunua nguo zinazoendana na mwili wako
2.Fanya mazoezi ili kutengeneza misuli ya mwili wako
3.Nyoa vizuri nywele zako
3.Kula vizuri ili kutengeneza afya yako na kuwa na ngozi nzuri






EmoticonEmoticon